Nilianza kuandika nikiwa form 2.
Enzi za ESir but nikakosa visa ya kustudy past the studio hii story ni true.
Nikarusha dice, nikaangukia ofisi kama kamari.
Lakini usanii hatutawahi sare.
Nitacontinue kushoot shots kama Alehandro lakini nitabakia mkarimu kama Benzema.
Nilitunga mistari kabla nipate ID lakini jina nikajipa sikuwa nameless.
Live up to the banditry najipox kila time ndio niwapee presha.
Shash ikareplace gomba kwa lyrics, maneno yanapaa juu sio moshi wicked.
Nimeflex kwa jua kali najenga future, it’s not all for the ladies.
Narusha macho kwa manzi wa Nairobi nasema rest in peace Lady S.
Pilipili hainiwashi bali yanipa morale ya kuknow nini ndio next step.
Tones ziko na genge mpya limemuok sio warazi tu wanarep.
Msanii ni kioo cha jamii, sauti ya umati lakini fikra za wengi.
Ndio maana artistes hukaa manarcissist juu lazima waiinsist.
Kubadili perception inayoharibu reception na kutoana rangi.
Ningekua reckless na message ya wakiritho lakini wako ritho.
Wanaeza ita SWAT na sio time yangu ya kulambana na the law.
So nitazidi kusema mi ni divine, “I’m a miracle, baby.”
Nimechungulia family nikaona hatutabaki kukohoa kwa Corolla.
Kama Femi tutawezana na wale wana vitambi Major?
Nani atatoa gang kwa boondocks and sail us kwa hao iko in a better state?
Juu maKartelo wamekuwa millionaire na pandemik, sealing our fate.
Nimenyongwa na ethics ndio nasimama kuchachisha.
Nitainama tena, haja ya haya maneno thao ikiisha.
#KenyanMusic #Genge #Gengetone #GengeNotes