#IAmKenyan, Deep and overstood, Life

STRICT POETRY


Divine is the calling you have received.
Ngartia can’t you see what we’ve got here.
They feed on our sweat and Tear Drops
And they are still spreading hii Ebola na Virusi Mbaya.
We are no more than street kids, sisi ndio fans na ‘Dorphan’ can attest.
Kibali hata ukikasirikika kubali wewe wafaa kuwa mmoja wa shepherds.
Maji haifiki kwa Slum na bado twajiita Wafalme
Wanadisrespect our ladies wakisahau mungu wetu ni Msooh.
Get down sio kumaanisha tudance bali ni kuhepa bullets.
Mistari zetu haziwaumi na ndio maana Veon yuajaribu kugusa Zion.
It’s time we stood up and demanded Samo accountability.
Rights wataka na bado umejificha kwa kushoto.
Umelalia FlowflaNi na sakafu wailamba.
Utapashwa moto na Kuni Mbichi moshi itafanya hata G-cho Pevu lilie.
Hujapewa talanta ndio uikalie.
Ndio Mungu Yunasi na Imani itatupeleka mbali.
Wewe ni Mwafrika na ni sawa uko na ‘Black Skillz’.
Lakini wewe si mtumwa wewe ni Jemedari.
Mufasa tusonge mbele haraka kwa kimombo wasema Move Faster.
Na hii baridi bado wanaitisha more fire sijui tuta Blaze
Lazima uyapange unayoyataka, ikiwezekana hata unaweza Sketch.
Ambia serikali, walafi na wakorofi hii ni Nnoiz necessary.
The necessity of our abilities has given us a chance to be heroes.
We do not have to be like Zorro, El Poet has the same pen skills.
Yes they will attack us, they will incarcerate us and a few more might Dayan.
They will divide you into tribes, tell you Man-njoro is not your own and make him your Nemesis.
But you shall not be alone, more will come yaani Monaja.
Mola atatusaidia ndio tutawapiga hiyo Checkmate.
Huu ndio wasaa wa kuuliza Kwani? Na tutaanzia WAPI.
Kilio cha Wanjiku chaitikwa na Sauti ya Fatuma.
Usifuate nyuki Asali imeshafichwa.
Afadhali you become the Poeticbee.
Float your wordplay, sting with your truths.
Misri haturudi Tena.
Sitaulizia jina langu tena oh Nana ndio nitaimba nikiwangoja.
Sina haja ya Shukrani kwa kuwaangazia hii Nuru.
NumberEight haitafika Kibra, yatuelekeza kwa siku njema iliyoko na wali bora.
Fikra zisikusumbue bora sisi wote tuwe InThync.
Jela zikifunguliwa na mrushwe ndani.
Wakiuliza nani aliwafunza kuimba juu ya kuiba toka kwa matapeli.
Waelekeze kwa jambazi mkuu, nitawafahamisha kuwa mimi ni Bandit.

4 thoughts on “STRICT POETRY”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s