#IAmKenyan, Deep and overstood, Kenya, Life, Politricks, War

GENERATION ZII


Broke, jobless, taxed, homeless, no wonder the streets keep calling.
Smoke, fearless, facts, timeless, we’ll march again and keep coming.
In the spirit of Wangarĩ, Mboya, Ouko, Njindo and others, we claim our birth right.
We are not here to be the 4th liberation, we have got the final one in sight.
You thought we got our heads stuck on our screens didn’t you?
You missed us gaining knowledge to kick you out of our view.
We got to watch the previous generations get the same treatment.
Peaceful demonstrations against injustice turned to hostile internment.
Ignoring our demands and rights is definitely a foolish use of freewill.
I shall still be at your gates tomorrow, yesterday was just a fire drill.


Water cannons hazitushtui wakati hakuna maji kwa taps nyumbani.
Mkono wenu mrefu lakini sisi twapungia serikali yenu ule wa buriani.
Nikiupload video, mnataka kodi, nikipata likes mnauliza tuje lini?
Tutatiktok tutatiktok na nini, hatuezi afford tax tutatiktok kwa nini?
Tunacreate jobs from scratch, nyi kazi ni kudestroy our digital hopes.
Mnacreate mobs na promise ya lunch, kazi yetu ni kudestroy hizi ropes.
Mnadhani mboka ndio tutapiga lakini kuwapiga nyinyi ndio tutachoka?
Tuko focused, threats za lock up twaziweka behind bars za kufoka.
Tumekuwa at the bottom na bado mnatulet down, tumekuwa njaa koo yasema tuko na kiu pia.
Tutaexpress our ways kwa hizi barabara, sisi si generation ya sahani, tuko taxin’ juu twataka sinia. 

#GENERATIONZII #REJECTFINANCEBILL2024 #RIPREX